Halmashauri ya Wilaya ya Singida imeendelea na uboreshaji wa utendaji kazi na uwajibikaji katika Idara ya Fedha na Biashara kwa kuimarisha mifumo ya ukusanyaji wa Mapato na Matumizi na utoaji wa taarifa kwa Umma kwa kutumia mifumo ya kieloktroniki. Hii imepelekea mapato ya ndani kuendelea kuongezeka kila mwaka Kama ifuatavyo:
Mwaka |
Makisio |
Mapato |
% |
2014/2015
|
733,865,000.00 |
332,395,242.00 |
45 |
2015/2016
|
842,760,000.00 |
543,007,569.00 |
64 |
2016/2017
|
1,014,101,746.00 |
849,180,557.00 |
84 |
2017/2018
|
1,009,324,460.00 |
958,624,600.00 |
95 |
2018/2019
|
1,370,377,500.00 |
1,139,124,463.00 |
83 |
2019/2020
|
1,371,978,000.00 |
869,751,270.00 |
63 |
Bomani Area
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi: +25526502237
Barua Pepe: ded@singidadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.