Naibu Waziri wa Nchi-Ofis ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa(Mb), akiwa katika ziara ya kikazi halmashauri ya wilaya ya Singida kuangalia utekelezaji wa shughuli za mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) na hatimaye kuongea na wananchi wa Kijiji cha Kibaoni kilichopo kata ya Mudida wilayani humo.
Picha: Ziara ya Naibu Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa(Mb) akizungumza na walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kijiji cha Kibaoni, kata ya Mudida iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Singida.
Picha: Wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kijiji cha Kibaoni, kata ya Mudida halmashauri ya wilaya ya Singida wakitoa zawadi zao kama shukrani kwa Naibu Waziri wa Nchi- Ofis ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa(Mb) alipotembelea kijijini hapo.
Picha: Naibu Waziri wa Nchi- Ofis ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa(Mb) akiwa dukani kwa mnufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) Bi. Mariamu M. Jingu katika kijiji cha Kibaoni kilichopo halmashauri ya wilaya ya Singida.
Picha: Naibu Waziri wa Nchi- Ofis ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa(Mb) akitoka nyumbani kwa mnufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) Bi. Amina Hamisi Nyuha katika kijiji cha Kibaoni kilichopo halmashauri ya wilaya ya Singida.
Bomani Area
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi: +25526502237
Barua Pepe: ded@singidadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.