• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika


  • Halmashauri ya Wilaya, imetekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi chini ya Ibara ya 22 inayolenga kujitosheleza kwa chakula, kuimarisha uchumi, kuongeza kipato cha Wakulima, kuwa kichocheo cha kukua kwa viwanda na kuongeza ajira kama ifuatavyo:-
  • Matumizi ya mbegu bora za mazao ya Mtama, Ulezi, Alizeti, Viazi lishe, Mahindi, Pamba, Korosho na Mihogo yameongezeka kutoka asilimia 30 mwaka 2015 kufikia zaidi ya asilimia 45 mwaka 2019;
  • Kuongezeka kwa uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa ekari; Mtama kutoka gunia 6 mwaka 2015/2016 hadi gunia 12 mwaka 2019/2020, Mahindi toka  gunia 7 mwaka 2015/2016 hadi gunia 13 mwaka 2019/2020, Ulezi toka gunia 8 mwaka 2015/2016 hadi gunia 13 mwaka 2019/2020, Vitunguu toka gunia 10 mwaka 2015/2016 hadi gunia 20 mwaka 2019/2020, Alizeti toka gunia 5 mwaka 2015/2016 hadi gunia 11 mwaka 2019/2020, Viazi vitamu toka gunia 6 mwaka 2015/2016 hadi gunia 10 mwaka 2019/2020. Ongezeko hili ni kwa wakulima wanaotumia mbegu bora na kufuata kanuni bora za kilimo.
  • Kuongezeka kwa kilimo cha zao la biashara la kudumu la korosho kutoka miti 104,704 mwaka 2015 hadi miti 121,704 mwaka 2019;
  • Kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la pamba kutoka tani 2.2 mwaka 2015 hadi tani 114 mwaka 2019;
  • Kuongezea mazao thamani hasa kwenye zao la alizeti kwa asilimia 75 na mazao ya mboga kwa asilimia 2.
  • Kuongezeka kwa uhakika wa chakula katika ngazi ya kaya kwa asilimia 90. Kwa kipindi cha miaka mitano (5) mfululizo hatujawahi kuomba chakula cha msaada.
  • Kitengo cha Ushirika kimefanikiwa kusajili vyama vinne (4) vya ushirika wa awali (pre-cooperative Societies) ambavyo hujishughulisha na zao la pamba.
  • Kuongezeka kwa vikundi vilinyojiunga kwenye vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) na Vyama vya Mazao (AMCOS) toka 96 hadi 117 katika kata 10 (Mughunga, Mudida, Ughandi, Ilongero, Kinyeto, Ngimu, Ntonge, Maghojoa, Mtinko na Makuro);
  • Kusimamia kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa bodi katika SACCOS 8 na AMCOS 7 kwa kufuata sheria mpya ya vyama vya ushirika ya mwaka 2013.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 11, 2022
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WALIMU WA KATA YA ITAJA WAJENGEANA UWEZO KUPITIA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI(MEWAKA) KWA UFADHILI WA MRADI WA SHULE BORA

    February 04, 2023
  • WASTAAFU WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    January 26, 2023
  • Mhe. Mhandisi Paskas Muragili akiongoza Mdahalo kutafakari mafanikio ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    December 10, 2022
  • Zoezi la upandaji miti likiendelea kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    December 08, 2022
  • Angalia zote

Video

Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yafanyika Manyoni Singida kimkoa.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.