Tuesday 7th, February 2023
@Ofisi za zamani za Halmashauri
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Umma kwa ujumla, kuwa tarehe 09/07/2022 saa 4.30 asubuhi siku ya Jumamosi katika Ofisi za zamani za Halmashauri ya Wilaya ya Singida zilipo Ofisi za NIDA kutakuwa na mnada wa hadhara wa kuuza Magari, Tela la Trekta, na vifaa vya Ofisini.
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.