• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Fedha na Biashara

Halmashauri ya Wilaya ya Singida imeendelea na uboreshaji wa  utendaji  kazi na uwajibikaji katika Idara ya Fedha na Biashara kwa kuimarisha mifumo ya ukusanyaji wa Mapato na  Matumizi na utoaji wa taarifa kwa Umma kwa kutumia mifumo ya kieloktroniki. Hii imepelekea mapato ya ndani kuendelea kuongezeka kila mwaka Kama ifuatavyo:


Mwaka

Makisio

Mapato

%

2014/2015

733,865,000.00

332,395,242.00

45

2015/2016

842,760,000.00

543,007,569.00

64

2016/2017

1,014,101,746.00

849,180,557.00

84

2017/2018

1,009,324,460.00

958,624,600.00

95

2018/2019

1,370,377,500.00

1,139,124,463.00

83

2019/2020

1,371,978,000.00

869,751,270.00

63

  • NB: Kwa mwaka 2019/2020 asilimia ya mapato ni hadi mwezi April 2020 na makusanya yanaendelea


  • Kuongeza idadi ya POS (Point of Sales) kutoka POS 0mwaka 2015/2016 na kufikia POS127 mwaka 2019/2020 ambazo zimesambazwa katika vijiji vyote 84 na kusaidia kufikia mafanikio haya makubwa.
  • Halmashauri iliendelee kuimarika siku hadi siku na kufanikiwa kuondoa hati yenye Mashaka na kufanikiwa kupata Hati Safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ‘CAG’ tangu mwaka 2016/2017, 2017/2018na 2018/2019. 
  • Ongezeko la Viwanda vya kukamua alizeti kutoka viwanda 28 mwaka 2015 hadi viwanda 43 mwaka 2020.
  • Ongezeko la shughuli ndogo ndogo za uzalishaji(viwanda vidogo sana, vidogo na vya kati) kutoka 344 mwaka 2015 hadi 668 mwaka 2020.
  • Halmashauri ya Wilaya ya Singida kupitia Kitengo cha TEHAMA imeboresha mifumo mbalimbali ya utendaji kazi, kutoka mfumo 1(LGRCIS) mwaka 2016/2017 hadi mifumo 19 mwaka 2019/2020.  Mifumo hii imesaidia kurahisisha ukusanyaji na Udhibiti wa mapato ya Halmashauri pamoja na  utoaji wa taarifa kwa haraka na kwa uhakika haswa taarifa mbalimbali za afya, elimu, kiutumishi, bajeti, malipo kwa kutumia mifumo ya PlanREP, Epicor, LGRCIS,BEMIS, FFARS, GoT-HoMIS n.k.
  •  Uanzishwaji wa tovuti ya Halmashauri (Website) inayotambulika kwa jina la www.singidadc.go.tz ambapo imesaidia kutangaza fursa mbalimbali zilizopo katika Halmashauri pamoja na matukio mbalimbali.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA MASHARTI YA KUDUMU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA February 22, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA YA KUKUSANYA USHURU WA HALMASHAURI February 10, 2023
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA KATIKA KIKAO KAZI CHA LISHE NA WATAALAMU WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    February 14, 2023
  • WALIMU WA KATA YA ITAJA WAJENGEANA UWEZO KUPITIA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI(MEWAKA) KWA UFADHILI WA MRADI WA SHULE BORA

    February 04, 2023
  • WASTAAFU WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    January 26, 2023
  • Mhe. Mhandisi Paskas Muragili akiongoza Mdahalo kutafakari mafanikio ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    December 10, 2022
  • Angalia zote

Video

Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yafanyika Manyoni Singida kimkoa.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.