• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Afya na Ustawi wa Jamii

Halmashauri imeendelea kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora za afya kwa kuzingatia Ilani ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 50 kwa kuhakikisha kuwa dhamira ya kuwa na wananchi wenye afya bora watakaoweza kushiriki katika shughuli mbalimbali za kiuchumi inafikiwa. Hii imefanyika kwa kutekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuongeza idadi ya vituo vya afya kutoka 2 (Ilongero na Mgori) 2015/2016 kufikia vituo 3 mwaka 2019/2020 kwa kujenga  miundombinu katika kituo cha afya Msange na upanuzi wa ujenzi wa miundombinu katika kituo cha Afya cha Mgori kwa mchanganuo ufuatao:-jumla ya fedha iliyopokelewa niTshs 1,100,000,000.00,(200,000,000.00 vifaa na tiba na 900,000,000.00 ujenzi).
  • Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya uliogharimu kiasi cha Tshs. 1,500,000,000.00 kwa mwaka 2019/2020 ambao ni mafanikio makubwa sana katika uboreshaji wa vituo vya kutolea huduma za Afya.
  • Maambukizi ya UKIMWI/VVU kupungua kutoka 1.9% mwaka 2015/2016 hadi kufikia 1.3% kwa mwaka 2019/2020
  • Halmashauri ilipokea dawa na vifaa tiba kutoka Bohari ya dawa (MSD) vyenye thamani ya Tsh 555,165,004.16 kwa ajili ya vituo vya kutolea huduma za afya 30 vya Serikali. Asilimia ya upatikanaji wa dawa ni 98%.
  • Uingiaji wa ubia na Sekta binafsi kutoa huduma za Afya ambapo Halmashauri iliingia mkataba na Hospitali ya St. Carolus-Mtinko tarehe 06/02/2018 ili kuitumia kama Hospitali Teule ya Wilaya. Kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Halmashauri ilipeleka kiasi cha Tshs. 123,227,200 kutoka mfuko wa Afya wa Pamoja (Busket Fund) na kupelekea Hospitali kuanza kutoa huduma za Afya kwa gharama nafuu pamoja na kutoa huduma kwa akina Mama Wajawazito kujifungua bila malipo hivyo kupelekea idadi ya Akina Mama wanaojifungua kuongezeka kutoka 1,318 mwaka 2017/2018 hadi kufikia 2,015 mwaka 2019.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA MASHARTI YA KUDUMU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA February 22, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA YA KUKUSANYA USHURU WA HALMASHAURI February 10, 2023
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA KATIKA KIKAO KAZI CHA LISHE NA WATAALAMU WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    February 14, 2023
  • WALIMU WA KATA YA ITAJA WAJENGEANA UWEZO KUPITIA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI(MEWAKA) KWA UFADHILI WA MRADI WA SHULE BORA

    February 04, 2023
  • WASTAAFU WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    January 26, 2023
  • Mhe. Mhandisi Paskas Muragili akiongoza Mdahalo kutafakari mafanikio ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    December 10, 2022
  • Angalia zote

Video

Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yafanyika Manyoni Singida kimkoa.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.