• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

CAMFED WATAMBULISHA MRADI WA STADI ZA MAISHA

Posted on: May 21st, 2024

SHIRIKA lisilo la kiserikali la CAMFED Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na OR-Tamisemi linafanya semina ya siku mbili kwa Maafisa Elimu Kata , Wakuu  wa Shule na Walimu wa Unasihi lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo katika kutoa elimu na mwongozo juu ya stadi za maisha, kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida.


Akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Semina hiyo  Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Ndg Christopher Kidubo amewashukuru wadau wa CAMFED kwa kushirikiana na Serikali katika kukabiliana na jukumu kubwa la Malezi ya Vijana na amehimiza Washiriki wote kuwa wasikivu wakati watakapokuwa wakijengewa uwezo na Wawezeshaji kutoka CAMFED ili wakatumie elimu hiyo kuwawezesha  Wanafunzi kujisaidia kujitambua, wao ni nani na wanatakiwa kufanya nini, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea.

Awali wakati akimkaribisha  mgeni rasmi Kiongozi wa Timu ya Wawezeshaji  Ndg Musa Mnyeti ambaye ni afisa anayeshughulikia Elimu Sekondari kutoka Wizara ya Elimu amesema wapo Halmashauri ya Wilaya ya Singida ili kuwajengea Uwezo Maafisa Elimu Kata,Wakuu wa Shule na Walimu wa Ushauri/Unasihi juu ya  stadi za Maisha ili wakawawezeshe Wanafunzi wa Shule za Sekondari wanaowafundisha.

Mpaka sasa Shirika la CAMFED  limefanikiwa kuwafikia zaidi ya  wanafunzi laki mbili na ishirini na sita elfu kwa kuwawezesha kujitambua na kukabiliana na Changamoto mbalimbali zinazowakabili ambapo imepelekea kupunguza mdondoko wa wanafunzi kwenye shule za sekondari.

Matangazo

  • TANGAZO LA BVR May 11, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA SINGIDA WAPATA MAFUNZO KUHUSU USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA UWEKEZAJI

    April 03, 2025
  • TAWA YATOA ELIMU YA MBINU ZA KUKABILIANA NA WANYAMA PORI

    April 03, 2025
  • HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI WATEMBELEA HALMASHAURI YA SINGIDA

    March 28, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMINZA

    March 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.