• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC GONDWE AFANYA ZIARA YA UTATUZI WA MGOGORO WA ARDHI.

Posted on: December 24th, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, ambaye pia ndiye Mkuu wa Wilaya ya singida, Mhe. Godwin Gondwe,  amefanya ziara katika Kata ya Ilongero, kwa lengo la utatuzi wa mgogoro wa ardhi baina ya kijiji cha Madamigha kilichopo katika Kata ya Ilongero na kijiji cha Ifombou kilichopo katika Kata ya Ntonge leo tarehe 24/12/2025.


Katika ziara hiyo, Mhe. Gondwe ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Elia D. Mlangi,  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Bi. Ester Chaula na wataalamu wa idara za ardhi na sheria wa Halmashauri pamoja na watendaji wa vijiji vyote viwili, ambapo kwa pamoja  wamepata nafasi ya kuwasikiliza wananchi wa maeneo hayo, wakitoa maelezo kuhusiana na mgogoro huo ambao chanzo kikubwa ni mipaka baina ya vijiji hivyo.


Baada ya kuwasikiliza wananchi Mhe.  Gondwe ametoa maagizo kwa maafisa ardhi wa Halmashauri pamoja na Viongozi wa Serikali ya vijiji vyote viwili, kupita na kupima  ukubwa wa eneo na kutambua eneo la mpaka wenye mgogoro, ikiwa ni hatua ya kwanza ya utatuzi wa mgogoro huo na baada ya hapo taarifa itapelekwa katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kwa utatuzi zaidi. Vilevile,  Mhe. Gondwe amesisitiza kuwa, utatuzi wa mgogoro huo, utakuwa ni shirikishi baina ya watendaji na viongozi wa serikali ya vijiji vyote viwili,  kwa lengo la kumaliza mgogoro kwa maridhiano.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WANUFAIKA NA MRADI WA NOURISH

    January 13, 2026
  • VIJANA WA MUGHAMO WAPEWA ELIMU YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    January 09, 2026
  • MAAFISA MAENDELEO SINGIDA WATOA ELIMU YA MIKOPO KWA VIJANA

    January 09, 2026
  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA ATOA ELIMU YA UKUSANYAJI WA MAPATO KATA YA MSISI

    January 09, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.