• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAFANYA TATHMINI YA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

Posted on: January 27th, 2026

Timu ya wataalamu wa maendeleo ya jamii kutoka katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida imefanya ziara ya tathmini na uchambuzi wa maombi ya mikopo ya Asilimia 10, kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kata mbalimbali za Halmashauri. Ziara hiyo imefanyika kuanzia Tarehe 21 hadi 26 Januari, 2026 ikihusisha kata za Ngimu, Msange, Munghamo, Mughunga, Mgori, Ikhanoda, Mwasauya na Maghojoa, ikiwa na lengo la kukagua na kufanya tathmini ya taarifa za waombaji wa mikopo ili kuhakikisha wanakidhi vigezo vilivyowekwa.


Katika ziara hiyo, timu ya wataalamu ilijikita katika uhakiki wa nyaraka na viambatanisho muhimu vinavyohitajika wakati wa kuomba mikopo, pamoja na kuchunguza aina ya shughuli za kiuchumi zinazofanywa na vikundi husika. Hatua hiyo imelenga kubaini uhalali wa maombi na kuhakikisha kuwa mikopo hiyo inawanufaisha walengwa waliokusudiwa.


Aidha, tathmini hiyo imefanyika ili kuhakikisha kuwa mikopo inayotolewa inachangia katika kukuza uchumi wa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, sambamba na kuongeza uwajibikaji wa matumizi sahihi ya fedha zitakazotolewa. Wataalamu wameendelea kusisitiza umuhimu wa vikundi kuzingatia taratibu na masharti ya mikopo ili kufanikisha dhamira ya Serikali ya kuwezesha makundi maalum kiuchumi na kijamii.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAFANYA TATHMINI YA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    January 27, 2026
  • KIHONGOSI AKAGUA MIRADI YA AFYA WILAYA YA SINGIDA

    January 19, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO

    January 17, 2026
  • KIKAO CHA KAMATI YA LISHE KWA ROBO YA PILI YA MWAKA

    January 16, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.