• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI

Posted on: February 3rd, 2026

Halmashauri ya Wilaya ya Singida leo tarehe 3 Februari 2026 imezindua rasmi Baraza Jipya la Wafanyakazi la Halmashauri hiyo, katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi mdogo wa Halmashauri. Uzinduzi huo uliwakutanisha wakuu wa idara na vitengo mbalimbali, wateule kutoka idara tofauti pamoja na wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi vya CWT, TUGHE na TUCTA.


Katika kikao hicho, wajumbe wa baraza walifanya uchaguzi kwa njia ya kura ili kumchagua Katibu na Katibu Msaidizi wa baraza. Aidha, wajumbe walijadili bajeti za Halmashauri pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu maslahi ya wafanyakazi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kikao hicho, Mwenyekiti wa kikao ambaye ni Afisa Kazi wa Mkoa wa Singida, Bw. Boniphace Ntalula, aliwaeleza wajumbe wapya majukumu ya baraza hilo na kusisitiza umuhimu wa kulitumia baraza hilo kama jukwaa la kutatua changamoto zinazowakabili wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI

    February 03, 2026
  • SINGIDA DC NA MKALAMA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KUPITIA BONANZA LA MICHEZO

    January 31, 2026
  • TATHMINI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 30, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAANDAA KIKAO CHA USINDIKAJI WA VYAKULA VYENYE LISHE

    January 30, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.