• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KATIBU TAWALA AWASIHI WAHUDUMU WA AFYA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA

Posted on: November 23rd, 2023

Hayo yamejiri leo tarehe 23/11/2023 wakati Katibu TAWALA wa Mkoa wa Singida  Mhe. Dkt Fatuma Mganga alipokuwa mgeni rasmi kwenye kikao Cha wataalam wa Afya ambao wanakutana  kwa siku mbili  katika Halmashauri ya Wilaya yaSingida,Mwahango kujadili kuhusu vifo vya akinamama Wajawazito na watoto wachanga.

Akiongea kabla ya kumkaribisha Katibu Tawala wa Mkoa kufungua kikao hicho ,Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Victorina Ludovick amesema kikao hicho ni Kikao Cha huzuni sana kwa wataalam wa Afya ya Mama na Mtoto kwani pamoja na VIFO vinavyotokea lakini Serikali imeendelea kuboesha Mazingira ya Kazi kwa Wataalam hao kwa kutengeneza Miundombinu ya Majengo ,Usafiri, Vifaa tiba na wataalam wa Afya ambapo jitihada zote hizo zinawataka kuhakikisha kuwa Huduma ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreka.


Katika Hotuba a yake ambayo ameitoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe Dkt. Fatuma Mganga amesema kuwa Takwimu zinaonesha kuwa sababu nyingi za vifo vya kina mama wajawazito ni vile vinavyozuilika na ndiyo maana Serikali imeendelea kuboresha Mazingira ya Sekta ya Afya nchini kwa kuwapitia Miundombinu ,Vitendea kazi,Madawa na Wataalam ili waweze kufikia jamii na kutoa huduma Bora.

Amewaomba Waganga Wakuu wa Wilaya kuwa Mabalozi wazuri kwa jamii wanazozihudumia kwa kusukuma agenda za kujengwa ama kumalizia Zahanati zinazojengwa kwenye maeneo yao ili kuwezesha huduma za Mama na Mtoto kuwa karibu zaidi na Jamii.Hii itapelekea Wajawazito wengi zaidi kwenda kwenye vituo vya Afya na kumaliza Changamoto ya kujifungulia nyumbani.Mhe.Dkt Mganga amesisitiza Timu za uangalizi za Mkoa(RCHMT) na Wilaya(CHMT) kufanya kazi zao kwa weledi zaidi ili kubaini  Changamoto za Afya ya Mama na Mtoto na kuzipatia ufumbuzi kwa wakati.

Akiongelea kuhusu vifo vya watoto wachanga Mhe Dkt Mganga amesema kati ya Jan - Sept 2023 watoto wachanga 416 wamepoteza maisha,Takwimu ambayo imekuwa ikipanda kwa kila robo na hivyo amewataka wataalam hao kutumia kikao hicho kuweka Mikakati madhubuti itakayosaidia kupunguza vifo hivyo.

Akihitimisha Hotuba yake kwa Wataalam wa Afya Mkoa wa Singida Mhe Dkt Mganga amesema

"Daima tukumbuke kuwa Afya Bora ya Uzazi na Mtoto ni Msingi wa Maendeleo ya Taifa lolote na hasa Taifa letu la Tanzania"




Matangazo

  • TANGAZO LA BVR May 11, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA SINGIDA WAPATA MAFUNZO KUHUSU USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA UWEKEZAJI

    April 03, 2025
  • TAWA YATOA ELIMU YA MBINU ZA KUKABILIANA NA WANYAMA PORI

    April 03, 2025
  • HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI WATEMBELEA HALMASHAURI YA SINGIDA

    March 28, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMINZA

    March 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.