• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KIHONGOSI AKAGUA MIRADI YA AFYA WILAYA YA SINGIDA

Posted on: January 19th, 2026

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Kenan Kihongosi, leo amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, ikiwemo Hospitali ya Wilaya ya Singida iliyopo Ilongero.

Katika ziara hiyo, Kihongosi alikagua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) pamoja na miradi mingine ya afya yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300 ikiwemo ujenzi wa njia za kuunganisha majengo (walkway), jengo la kuhifadhia maiti (mortuary), theatre na wodi ya upasuaji. Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Kihongosi alisema hospitali hiyo ni ya kisasa na ina viwango vya juu vya utoaji wa huduma za afya. "Tumekuja leo kufanya ukaguzi wa hii hospitali yenu, ukiangalia kwa macho hapa unaona hii hospitali ni bora sana. Hospitali hii katika mataifa mengine hospitali hizi zipo maeneo ya mjini, sio vijijini," alisema

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAFANYA TATHMINI YA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    January 27, 2026
  • KIHONGOSI AKAGUA MIRADI YA AFYA WILAYA YA SINGIDA

    January 19, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO

    January 17, 2026
  • KIKAO CHA KAMATI YA LISHE KWA ROBO YA PILI YA MWAKA

    January 16, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.