• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KIKOSI KAZI CHA SAMIA CHATATUA KERO 952 WILAYA YA SINGIDA

Posted on: February 11th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amerudisha tabasamu na kuamsha nguvu mpya kwa wananchi wa wilaya hiyo baada ya Kikosi Kazi cha Samia kufanikisha utatuzi wa kero zaidi ya 900 zilizokuwa zikiwakabili wakazi wa eneo hilo. Wananchi mbalimbali wamejitokeza hadharani kutoa ushuhuda wa namna changamoto zao zilivyopatiwa ufumbuzi, hatua iliyoongeza imani kwa uongozi wa serikali kuanzi ngazi ya chini mpaka ile ya taifa.

 

Akizungumza leo, Februari 11, 2026 katika siku maalum ya tathmini ya usikilizaji na utatuzi wa kero za wananchi wa Wilaya ya Singida, Mhe. Gondwe alisema zoezi hilo limekuwa na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake. Alieleza kuwa lengo kuu ni kuhakikisha kila mwananchi anasikilizwa na changamoto zake zinapatiwa ufumbuzi kwa wakati ili kuimarisha ustawi wa jamii.DC Gondwe, amesema Kikosi Kazi cha Samia kimesikiliza jumla ya kero 973, ambapo kati ya hizo, kero 952 zimefungwa rasmi baada ya kupatiwa ufumbuzi. Alifafanua kuwa miongoni mwa kero hizo, zaidi ya 300 zilikuwa kubwa na nzito, zikiwemo zilizohitaji ushauri wa kisheria na maamuzi ya kina, lakini zilishughulikiwa kwa umakini na weledi mkubwa. Alibainisha kuwa migogoro ya ardhi na masuala ya mikopo ndiyo yaliyoongoza kwa wingi wa malalamiko kutoka kwa wananchi. Kutokana na hali hiyo, aliwahimiza wananchi kufuata taratibu za kisheria katika umiliki wa ardhi na mikataba ya kifedha, huku akisisitiza umuhimu wa elimu ya mara kwa mara ili kuzuia kujirudia kwa changamoto hizo.


Mhe. Gondwe alisema mafanikio hayo yanatokana na maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amesisitiza kusikilizwa na kutatuliwa kwa kero za wananchi ili waishi kwa amani na kuendelea na shughuli zao za maendeleo. Alieleza kuwa dhamira ya Rais ni kuona huduma za serikali zinawafikia wananchi kwa ufanisi na haki.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAWAPONGEZA WALIMU KWA MAFANIKIO YA ELIMU YA MSINGI

    February 14, 2026
  • MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.

    February 13, 2026
  • KIKOSI KAZI CHA SAMIA CHATATUA KERO 952 WILAYA YA SINGIDA

    February 11, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAKABIDHI VIFAA VYA UFUGAJI NYUKI KWA VIKUNDI VYA VIJANA

    February 09, 2026
  • Angalia zote

Video

MHE. ELIA DIGHA ASISITIZA SUALA LA UKUSANYAJI WA MAPATO.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.