• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KAMATI YA FEDHA,UONGOZI NA MIPANGO YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: August 13th, 2024

Leo tarehe 13/08/2024 Kamati ya Fedha na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe Elia Digha imefanya ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika Kata ya Ilongero,Merya,Msange na Mrama.Mhe Digha alikuwa ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Omary Mandi, Wajumbe wa Kamati hiyo Mhe. Iddi Kijida,Mhe Issa Mwiru,Mhe Hadija Kisuda, Mhe. Christina Jambi na Mhe.Paulo Himida

Katika Kata ya Msange na Ilongero Waheshimiwa Madiwani wamesomewa taarifa na kujionea maendeleo ya mradi wa kichomea taka,shimo la kondo la nyuma na Shimo la majivu katika Zahanati ya Sefunga Mangida na Kituo Cha Afya Ilongero ambapo kila moja umetekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 17.7 kila mmoja kwa ufadhili wa TAMISEMI.


Katika Kata za Mrama na Merya Kamati imepitia katika Mradi wa Matundu 19 ya vyoo vya kisasa vinavyojumuisha miundo mbinu ya walemavu katika shule za Msingi Makhandi na Mitula. Mradi huu umegharimu jumla ya shilingi milioni 46.1 kila mmoja ambapo miundombinu ya matundu 7 vyoo vya wavulana,matundu 9 vyoo vya wasichana na Matundu 3 ya vyoo vya walimu,vyoo vya watu wenye uhitaji maalum na kichomea taka imekamilika.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango Mhe. Elia Digha akiongea baada ya kuupokea Taarifa na kujionea Miradi hiyo ameomba ushirikishwaji wa Wananchi kwenye kuitunza Miradi hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa Maji tiririka.



Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.