• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WAAZIMIA KUMUONA WAZIRI WA NISHATI

Posted on: February 7th, 2024

MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WAAZIMIA KUMUONA WAZIRI WA NISHATI


Hayo yamejiri tarehe 7/2/2024 kwenye kikao Cha Baraza la Madiwani lililokaa kwenye kikao maalum kujadili na kupitisha bajeti ya Halmashauri kwa 2024/2025 ambapo akisoma taarifa ya Tanesco, Meneja wa Mkoa Eng Damas alilieleza Baraza Hilo kuwa kwenye mpango kazi wao Halmashauri ya Wilaya ya Singida imepewa Vitongoji 15 tu kati ya Vitongoji 435 vilivyopo.


Wakijadili taarifa hiyo Waheshimiwa Madiwani walisema idadi ya Vitongoji iliyowekwa ni ndogo sana kulinganisha na Mahitaji na kwa kauli moja wameadhimia kwenda kumuona Waziri wa Nishati Mhe Dkt Doto Biteko  ili kumuelezea kero yao.


Awali akiongea kwenye Baraza Hilo lilohudhuriwa na Mkuu wa Wilaya,Viongozi wa Chama Tawala,  Mwakilishi wa Afisa Tawala wa Mkoa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya Mhe Elia Digha ( Mwenyekiti wa Halmashauri) ameiomba Serikali kuangalia upya juu ya asilimia inayobaki Halmashauri baada ya makusanyo ya Kodi ya Majengo, kwani asilimia 20 inayoelekezwa kuchukuliwa na Halmashauri baada ya kuweza kukusanya Kodi ya Majengo kwa wakazi wa Halmashauri ni ndogo sana na haisaidii jitihada za ukusanyaji wa Mapato kwani Kuna Gharama kubwa kwenye kuendesha zoezi Hilo.Ameishauri Serikali kuipandisha Hadi asilimia hamsini ili kuweza kuinufaisha Halmashauri kama lengo la Serikali.


Mhe Elia pia amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha tena Halmashauri kupata Shilingi Bilioni moja na nusu(1.5176b) kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Ujenzi wa Madarasa(53) na Matundu ya Vyoo(160) na kuwataka Waheshimiwa Madiwani kuhakikisha wanasimamia ipasavyo matumizi ya hela hiyo ili Miradi hii iweze kuisha kwa Wakati na kwa Ubora unaotegewa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.