• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MHE. AYSHA ROSE MATEMBE ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE WILAYA YA SINGIDA

Posted on: March 8th, 2024

Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani(8/3/2024) Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Aysha Rose Matembe ameshiriki kama mgeni rasmi kwenye sherehe za siku ya Wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida.


Katika maadhimisho hayo Mhe. Aysha Rose Matembe  aligawa mitungi ya gesi 30 kwa mamalishe wa Tarafa ya Mtinko na kuwahimiza wanawake wa Singida Vijijini kubadilika na kutumia Nishati Safi kama majiko ya Gesi kwa shughuli za upishi ili kuokoa Mazingira.


Awali vikundi vilivyofanya marejesho kwa wakati vilipatiwa vyeti vya pongezi kwa kuwa waaminifu Mgeni rasmi na pia aliweza kupata nafasi ya kusikia shuhuda kutoka kwa Mwanamke Mjasiriamali aliyefanikiwa kutokana na Mkopo wa Mfuko wa wanawake unaotolewa na Halmashauri ya Wilaya.


Akiongea kwenye Shughuli hiyo Mgeni rasmi Mhe.Matembe amewasihi Wanawake wa Singida Kaskazini kujikita kwenye Kilimo kwani Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Fedha nyingi kuborasha Sekta hiyo.

"Ninafahamu hapa Mkurugenzi wangu mnatoa Pembejeo za Kilimo lakini ninaomba zifike kwa wanawake Hawa,kama unavyoona ni wakulima Waziri wanalima vizuri na wanajitoa kwelikweli katika shughuli za ujasiriamali kwa hiyo tukiwekeza kwa Wanawake hawa Nina imani kubwa kabisa kwamba Kilimo katika Wilaya yetu ya Singida litakuwa ni chenye Tija na Habari ya ukosefu  wa Chakula itakwisha kabisa na tutalima Kilimo Cha Biashara na Chakula"


Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake zinatarajia kufanyika kesho kimkoa katika Wilaya ya Ikungi ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mke wa Waziri Mkuu mstaafu Mama Tunu Pinda

ambapo kauli mbinu ya Mwaka huu ni

" Wekeza kwa Wanawake kurahisisha Maendeleo na Ustawi wa Jamii"


Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.