• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.

Posted on: February 13th, 2026

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha Mlangi, ameongoza mkutano maalum wa Baraza la madiwani wa kupitia na kujadili mpango na bajeti ya mwaka 2026/2027  leo tarehe 13/2/2026 katika ukumbi wa mikutano uliopo katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Katika mkutano huo, waheshimiwa madiwani wamepitia na wameidhinisha mapendekezo ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida kwa mwaka wa fedha 2026/2027 wenye jumla ya Shilingi Bilioni 49,768,808,534/= ambapo katika hizo, kiasi cha fedha cha Shilingi Bilioni 3,075,255,710/= ni makisio ya bajeti itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri.


Vilevile, Mkutano wa baraza hilo umepitia na kuidhinisha Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida wa kipindi cha miaka mitano,(2026/27 - 2030/31), ambapo waheshimiwa madiwani, wageni waalikwa pamoja na wakuu wa Divisheni na Vitengo walipata nafasi ya kujadili kwa pamoja namna ya kuongeza miradi ya kimkakati ili kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri.


Aidha, katika mkutano huo waheshimiwa madiwani pamoja na wageni waalikwa wamepata nafasi ya kupatiwa elimu kuhusiana na uandikishaji wa vitambulisho vya taifa pamoja na upatikanaji wa hati ya kusafiria yaani Passport,ambapo zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa awamu ya pili litaanza hivi karibuni katika baadhi ya kata katika Halmashauri, na  elimu hii imetolewa na Maofisa kutoka Jeshi la Uhamiaji Wilaya ya Singida pamoja na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) - Singida.


Waheshimiwa madiwani wameshauri namna mbalimbali za kuhakikisha bajeti hiyo inafikiwa ambapo wameshauri kuwa, kila mmoja katika nafasi na idara yake ahakikishe ukusanyaji wa mapato unaongezeka kwakuwa suala la mapato si la Afisa Biashara wala Mtunza Hazina pekee bali ni la kila mmoja.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAWAPONGEZA WALIMU KWA MAFANIKIO YA ELIMU YA MSINGI

    February 14, 2026
  • MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.

    February 13, 2026
  • KIKOSI KAZI CHA SAMIA CHATATUA KERO 952 WILAYA YA SINGIDA

    February 11, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAKABIDHI VIFAA VYA UFUGAJI NYUKI KWA VIKUNDI VYA VIJANA

    February 09, 2026
  • Angalia zote

Video

MHE. ELIA DIGHA ASISITIZA SUALA LA UKUSANYAJI WA MAPATO.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.