• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MHE. GONDWE AWATAKA MADIWANI KUWA MABALOZI WA STAKABADHI GHALANI

Posted on: August 21st, 2024

Mkutano wa Baraza la Madiwani kwa robo yan ne 2023/2024 umemalizika leo Tarehe 21/08/2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida.

Akitoa salamu za Serikali  Mkuu wa Wilaya ya Singida amewataka Waheshimiwa Madiwani kuongeza juhudi ya kusimamia Ukusanyaji wa mapato kwani mapato yakiongezeka ndio Halmashauri itakavyoenda vizuri katika utekelezaji wa mipango yake, Mhe. Gondwe amewakumbusha wajibu wao wa kuendelea kutoa elimu kwa wakulima wa halmashauri kuwasihi  kuendelea kulima kilimo chenye tija kwa kufuata ushauri wa maafisa ugani, amesisitiza pia kuwakumbusha wanachi juu ya umuhimu wa kuwa na hiifadhi ya chakula ili kuepukana na tatizo la njaa,kwa upande wa wanafunzi walioko shuleni Mkuu wa wilaya amesisitiza kuendelea na zoezi la ugawaji chakula kwa wanafunzi wote ambapo amesema hilo likitekelezwa kikamilifu hali ya ufaulu kwa wanafunzi wa Halmashauri itaongezeka.Akihitimisha maelekezo ya serikali kuhusu mfumo mpya wa Stakabadhi Ghalani Mhe. Gondwe amewaomba waheshimiwa madiwani kwenda kuwa mabalozi wazuri wa Mfumo huu kwa wakulima wa sehemu wanazotoka.

“tulizoea kuona bei ya kilo moja ya dengu ikiwa ni kati ya shilingi mia tisa mpaka elfu moja mia moja ila tangu tumeanza(stakabadhi ghalani) tumeona kuwa bei ya chini ilikuwa shilingi elfu moja na mia tisa na hamsini lakini imekwenda mpaka shilingi elfu mbili mia moja kwa hivyo tunaona kuwa hili ni jambo ambalo linamnufaisha mkulima wetu”

Katika Mkutano huu uliodumu kwa siku mbili Waheshimiwa Madiwani wamepata nafasi ya kuchagua wajumbe wa Kamati zinazounda sekretarieti ya Baraza na kupokea Taarifa za utekelezaji wa kamati hizo kwa robo ya nne 2023/2024.

Akitangaza Matokeo ya kura zilizopigwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha alimtangaza Mhe Omary Mande Diwani wa Kata ya Mudida kuwa mshindi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kipindi kingine.

Pia Mhe Digha alitangaza Wenyeviti wa Kamati za Baraza kama ifuatavyo

  • Kamati ya Uchumi, Mazingira na Ujenzi : Mwenyekiti ni Mhe. Bilali Yusuf
  • Kamati ya Elimu, Afya na Maji :Mwenyekiti ni  Mhe Iddi R Kijida
  • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi : Mwenyekiti ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Omari Mande

Matangazo

  • TANGAZO LA MARUDIO NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI July 02, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • ZIARA YA DC GODWIN GONDWE, KUKAGUA MAANDALIZI YA UJIO WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, SINGIDA DC.

    June 21, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PEPMIS)

    June 20, 2025
  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.