• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MHE. GONDWE AZINDUA MSIMU WA KILIMO 2025/2026.

Posted on: October 22nd, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Wilaya, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Singida,  Mhe. Godwin Gondwe, akiongozana na Kamati ya Usalama ya Wilaya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, amezindua rasmi msimu mpya wa kilimo 2025/2026 leo tarehe 22 Oktoba, 2025, katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika kijiji cha Mtinko, kilichopo katika kata ya Mtinko, katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida.

Akihutubia mbele ya wananchi, wadau wa kilimo pamoja na wataalamu wa kilimo, Mhe. Gondwe ameishukuru Serikali kwa kutoa ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa wananchi, na kusisitiza kuwa hilo si jambo dogo. “ Nataka niwaambie leo, si jambo la kawaida, katika nchi zetu za Afrika, kuona Serikali inaweza kutoa ruzuku kwa wakulima, leo tunashuhudia sisi wenyewe watu wetu ambao wamekuwa ni mawakala wa mbegu na mbolea, wanathibitisha wao wenyewe namna ambavyo biashara zao zimekuwa njema  baada ya kuingia kwenye mfumo wa ruzuku. Nchi ya Tanzania imeingia katika ramani ya dunia ya kumuwezesha mkulima katika upande wa ruzuku, ndugu zangu hili si jambo dogo” alisema Mhe. Gondwe.


 Vilevile Mhe. Gondwe ametoa vyeti vya pongezi kwa watumishi waliofanya kazi nzuri katika idara ya kilimo ya Halmashauri pamoja na wakulima waliofanya vizuri katika shughuli zao za kilimo, sambamba na utolewaji wa tuzo maalum kwa Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na Mkuu wa idara ya Kilimo ya Halmashauri kwa kutambua kazi nzuri wanazozifanya katika kufanikisha shughuli za idara ya kilimo katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Katika hafla hiyo ya uzinduzi,  Mhe. Gondwe meongoza wananchi,  kupita katika mabanda ya wadau wa kilimo na kujionea pembejeo za kilimo kama mbegu, mbolea na viuwatilifu pamoja na vifaa vya shughuli za kilimo kama vile trekta, ambapo wananchi wa Wilaya ya Singida wamepata nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo kilimo kwa kupitia wataalamu na wadau wa kilimo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE WALIOHAMISHWA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - TAMISEMI KUTOKA HALMASHAURI MOJA KWENDA HALMASHAURI NYINGINE November 18, 2025
  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WARSHA YA KUJADILI MAKADIRIO YA MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI.

    November 20, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA NA LISHE WATOA ELIMU NA HUDUMA KWA WANANCHI.

    November 18, 2025
  • DC GONDWE AWAASA WATUMISHI KUDUMISHA AMANI NA USHIRIKIANO.

    October 27, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA SINGIDA WASISITIZA UMUHIMU WA AMANI KABLA YA UCHAGUZI.

    October 27, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.