• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA MKOA AWAOMBA WATUMISHI KUFANYA KAZI ISIVYO KAWAIDA

Posted on: April 3rd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego tarehe 03/04/2024 amefanya kikao na Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo katika kikao hicho amewataka kutokufanya kazi kwa mazoea na badala yake wafanye kazi isivyo kawaida.


Amewaomba Viongozi na Watendaji wa Halmashauri kuwa mfano na chachu ya kuleta mabadiliko chanya yatayopelekea maendeleo makubwa kwa Wananchi wa Halmashauri yetu.Akitolea mfano shughuli ya Kilimo Mhe Dendego amewataka Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye kufuata kanuni Bora za Kilimo chenye Tija ili Wananchi waweze kujifunza kupitia mashamba yao.


"Wananchi wetu wanajua mambo mengi sana( Kilimo) wanachokikosa ni Mtu wa kuwaonyesha njia"


Mkuu wa Mkoa pia amesisitiza swala la Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri kwa kuweka wazi msimamo wake juu ya ulaji wa hela mbichi na kutopeleka Fedha benki kwa wakati , kwamba haikubaliani kabisa na jambo hilo na  ni miongoni mwa mambo asiyoweza kuvumilia kuina yanatendeka katika Halmashauri anazozisimamia.


Mhe Dendego pia amewaomba Watumishi kushirikiana na Waheshimiwa Madiwani kwa pamoja kutatua Changamoto zote zinazowakabili Wananchi wa Halmashauri ya Singida kwa kusikiliza kero zao na kuzitolea utatuzi kwa wakati. Amesisitiza kuwa Changamoto yoyote ikiwekwa wazi kwa watu wote lazima mawazo na njia ya kuikabili itapatikana.


"Kiongozi yeyote anayeng'ang'ana na Changamoto (peke yake)  huyo ni Mzembe, Mvivu wa kufikiri na asiyetaka kutimiza Majukumu yake"


Akiongea kwa niaba ya Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Elia Digha amemkaribisha mkuu wa Mkoa katika Halmashauri yetu na kumshukuru kwa maelekezo mazuri aliyoyatoa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.