• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA WILAYA YA SINGIDA APONGEZA BARAZA LA MADIWANI

Posted on: November 17th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Mhandisi Paskasi Muragili amelipongeza baraza la madiwani la Halmashauri  ya Wilaya ya Singida kwa kusimamia vyema shughuli ya Ukusanyaji wa Mapato na kuwezesha ukusanyaji wa takribani shilingi milioni 682 sawa na asilimia 45 ya Matazamio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/ 2024. Mhe Muragili ameyasema hayo leo Novemba 17, 2023 katika kikao cha baraza la madiwani kilichokaa kwa siku ya pili kwenye ukumbi wa  ofisi ya Mkurugenzi  Mtendaji wa  Halmashauri ya Singida iliyoko eneo la Mwahango kata ya llongero.

Akiwa kwenye kikao hicho Mhe. Muragili amepata  wasaa wa kuzungumzia Kilimo kwa kuwasihi wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Singida kuhakikisha wanapanda mazao kulingana na matazamio ya  hali ya mvua ambapo kwa msimu huu inategemewa kutakuwapo na mvua za juu ya wastani. Aidha amewaeleza Waheshimiwa madiwani nia ya Serikali kupitia wizara ya Kilimo kuanzisha Shamba Darasa ambalo litawezesha vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida kujifunza Kilimo Bora. Tayari Serikali imeshapata eneo la kuanzisha Shamba hilo katika kata ya Mrama Kijiji cha Mrama lenye ukubwa wa Heka 2.5 ambapo kutachimbwa kisima cha maji kuwezesha upatikanaji wa maji ya kutosha  kwa kilimo cha umwagiliaji.

Akizungumzia juu ya utunzaji wa misitu ya asili na vyanzo vya maji Mhe. Muragili amelihakikishia baraza hilo la madiwani kwamba nia thabiti ya Serikali ni kuendelea kuulinda msitu wa Mgori kwa kuondoa wavamizi wote na kuweka alama za mipaka(becon)  ya eneo hilo ambalo linapakana na Wilaya ya Chemba  mkoa  wa Dodoma na Hanang iliyoko mkoa wa manyara ambazo zitachimbiwa kwa kusimamiwa na kamati za usalama za wilaya.

Akiongelea janga la Mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara na kutapika Mhe. Muragili amewaomba Waheshimiwa Madiwani kutoa ushirikiano kwa kuhakikisha maeneo wanayotoka wananchi wanafuata sheria za Afya ya Msingi. Ametoa rai kwa Wananchi wote wa Wilaya ya Singida kuhakikisha kuwa wanakuwa na  Vyoo bora ili kuepukana na janga hilo na kuhakikisha kuwa halijirudii tena  katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida  “ …operesheni ya kukamata watu wasiokuwa na vyoo bora inaanza rasmi … na mtu yeyote asiyekuwa na choo bora naomba achukuliwe hatua”, amesema Mhe. Muragili

Matangazo

  • TANGAZO LA MARUDIO NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI July 02, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • ZIARA YA DC GODWIN GONDWE, KUKAGUA MAANDALIZI YA UJIO WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, SINGIDA DC.

    June 21, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PEPMIS)

    June 20, 2025
  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.