• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA WILAYA YA SINGIDA, MHE. GODWIN GONDWE, AKAGUA HUDUMA ZA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

Posted on: December 13th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, leo amefanya ziara ya kukagua huduma za afya katika Hospitali ya Wilaya na vituo vya afya vilivyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singida, ikiwemo Kituo cha Afya cha Ilongero na Kituo cha Afya cha Msange. Lengo la ziara hiyo ilikuwa kutathmini hali ya utoaji huduma za afya na maendeleo ya miundombinu katika maeneo hayo.

Katika ziara hiyo, Mhe. Gondwe alielezea kuridhishwa na juhudi kubwa zinazofanywa na watendaji wa sekta ya afya katika kusimamia uboreshaji wa huduma kwa wananchi, akitaja mafanikio yaliyopatikana katika maeneo hayo. Hata hivyo, aliwahimiza viongozi na watendaji wa sekta ya afya kuongeza bidii katika kuhakikisha huduma bora zinaendelea kuboreshwa.

Aidha, Mhe. Gondwe alitoa wito kwa watekelezaji wa miradi ya ujenzi katika vituo vya afya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo, ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya kwa wakati. Alisisitiza kuwa usimamizi bora na ufanisi katika miradi ya ujenzi ni muhimu katika kuimarisha huduma za afya kwa wananchi.

Vilevile, Mhe. Gondwe alisisitiza umuhimu wa vituo vya afya kuhakikisha vinakusanya na kuhifadhi takwimu sahihi za afya, ikiwemo taarifa za chanjo na lishe, ili kuziwezesha halmashauri kupanga mipango madhubuti ya maendeleo ya sekta ya afya. Alihimiza umuhimu wa kutumia takwimu hizo katika kubaini changamoto na kuboresha huduma zaidi kwa wananchi.


Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.