• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENGE WA UHURU 2024 WAWASILI SINGIDA DC.

Posted on: July 11th, 2024

Mwenge wa Uhuru 2024 umewasili leo tarehe 11/07/2024, ukitokea Wilaya ya Mkalama tayari kuanza kukimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida.

Mkuu wa Wilaya wa Singida Mhe. Godwin Gondwe amepokea Mwenge huo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya wa Mkalama Mhe. Moses Machali. Akiongea wakati wa makabidhiano ya mwenge yaliyofanyika katika Kata ya Mziha Wilayani Mvomero Mkuu wa Wilaya wa Singida Mhe. Godwin Gondwe  amesema Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida utakimbizwa umbali wa Km119, na utapitia jumla ya Miradi 9 yenye thamani ya Tsh Bil. 6.7 ambapo miradi 7 itatembelewa na Miradi 2  itawekewa jiwe la msingi.



Miradi itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2024 ni Pamoja na Mradi wa Kikundi cha Vijana (Making Life) Kilichopo kitongoji cha Kilimo Kijiji cha Ughandi A kinachojishughulisha na ufugaji wa Asali, Mradi wa Ujenzi wa Jengo la ICU na Nyumba ya Watumishi(3 in 1) katika Hospitali ya Halmshauri ya Wilaya ya Singida iliyopo katika Kijiji cha sekoutoure kata ya Ilongero, Mradi wa Watoto wenye Uhitaji Maalum Ilongero, Mradi wa Ujenzi wa Barabara Ilongero – Mwahango, Ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Singida lililopo katika Kijiji cha Mwahango, Ujenzi wa Mabweni 5 na Madarasa 12 na Matundu 12 ya vyoo Shule ya Sekondari Mwanamwema Shein.

Pamoja na Miradi hiyo Mwenge wa Uhuru 2024 utapata wasaa wa kujionea Juhudi za Halamshauri katika kukabiliana na Malaria , VVU na Hamasa ya Uchaguzi Serikali za Mitaa , Kongamano la Vijana, Masuala ya Lishe na Mapambano dhidi ya dawa za Kulevya.

Kaulimbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2024 ni tunza mazingira na shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa endelevu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.