• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENGE WA UHURU WATEMBELEA KIKUNDI CHA VIJANA WA BODABODA MTINKO

Posted on: July 20th, 2025

Mwenge wa Uhuru umefanya ziara katika Kata ya Mtinko na kutembelea kikundi cha vijana wa bodaboda ambacho ni miongoni mwa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri, inayotolewa kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu.

Katika ziara hiyo, Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Comrade Ismail Ali Ussi, alionesha kuridhishwa na namna Halmashauri ya Wilaya inavyotekeleza agizo la serikali kwa kutenga sehemu ya mapato yake ya ndani ili kuwezesha makundi maalum. Aidha, alionesha matumaini makubwa kwa kikundi hicho cha vijana ambao wameamua kujiajiri kupitia shughuli halali za usafirishaji badala ya kusubiri ajira rasmi.

Kikundi hicho kimefanikiwa kupata pikipiki mpya nane kupitia mkopo huo, ambazo zitatumika katika kuboresha huduma za usafiri kwa wananchi wa Mtinko na maeneo ya jirani. Uzinduzi wa pikipiki hizo umefanyika rasmi katika ziara hiyo ya Mwenge wa Uhuru.

Ziara ya Mwenge wa Uhuru inaendelea katika maeneo mbalimbali nchini ikiwa na lengo la kuhamasisha maendeleo, uzalendo, na ushiriki wa vijana katika shughuli za kiuchumi na kijamii. Kaulimbiu ya mwaka huu ni "Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu."

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DC GONDWE AFANYA ZIARA YA UTATUZI WA MGOGORO WA ARDHI.

    December 24, 2025
  • KIKAO CHA MIPANGO YA AWALI YA LISHE NGAZI YA HALMASHAURI

    December 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MAPATO KWA KIPINDI CHA MWEZI JULAI HADI DESEMBA, 2025.

    December 19, 2025
  • TIMU YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    December 18, 2025
  • Angalia zote

Video

DC. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA KILIMO NA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI NA MSINGI.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.