• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KINYAMWENDA

Posted on: July 20th, 2025

Mwenge wa Uhuru umezindua rasmi mradi mkubwa wa maji katika Kijiji cha Kinyamwenda, Tarafa ya Mgori, Kata ya Itaja, mradi unaogharimu shilingi 955,205,436.75 zilizotolewa na Serikali Kuu kupitia mpango wa Lipa Kulingana na Matokeo (PforR).

Mradi huo ambao sasa umekamilika kwa asilimia 100, unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Kinyamwenda na maeneo ya jirani. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Comrade Ismail Ali Ussi, ndiye aliyefanya uzinduzi rasmi wa mradi huo.


Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Comrade Ussi alitoa pongezi kwa usimamizi mzuri wa mradi hadi kukamilika kwake, na kusisitiza kuwa mradi huo ni kielelezo cha dhamira ya serikali ya kupeleka huduma muhimu vijijini. Aidha, aliwataka wananchi kuutunza miundombinu ya maji ili mradi huo uwe endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

Mradi huu unahusisha ujenzi wa tanki la maji lenye uwezo wa kubeba lita 100,000 lililowekwa juu ya nara ya mita sita, ujenzi wa uzio, vituo 12 vya kuchotea maji, Mrambo mmoja wa kunyweshea mifugo, Mtandao wa mabomba wenye urefu wa kilomita 14.6 pamoja na mfumo wa nishati ya jua kwa ajili ya kuendesha pampu.

Pampu ya mradi huu ina uwezo wa kusukuma lita 13,500 kwa saa, na inatarajiwa kuwanufaisha zaidi ya wananchi 3,134 pamoja na mifugo 4,175, kwa kuwapatia maji safi na salama karibu na makazi yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE WALIOHAMISHWA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - TAMISEMI KUTOKA HALMASHAURI MOJA KWENDA HALMASHAURI NYINGINE November 18, 2025
  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.