• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENYEKITI AIOMBA SERIKALI ITOE BEI ELEKEZI KWA ZAO LA ALIZETI

Posted on: May 23rd, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mh.Elia Digha ameiomba serikali kuingilia kati anguko la bei ya Zao la Alizeti kwa kutoa Bei elekezi itakayowalinda wakulima wa Zao hilo.

Zao la Alizeti ni mkombozi wa Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo kwa mwaka huu  2022/2023 wamekuwa na msimu mzuri na kushuudia mavuno mengi.Msimu uliopita Gunia la Alizeti liliuzwa kwa bei ya chini ya Shilingi Elfu hamsini lakini kwa msimu huu bei imeshuka mpaka Shilingi Elfu thelathini na tano.

Akifungua kikao hicho Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri alisema " Kama Serikali imewahi kutoa bei elekezi ya zao la Pamba,Serikali imetoa bei elekezi ya zao la Chai,imetoa bei elekezi ya zao la Korosho Sasa tunaiomba itoe bei elekezi ya zao la Alizeti" 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2023 August 25, 2023
  • KUHAMA KWA OFISI ZA HALMASHAURI August 11, 2023
  • UTARATIBU WA KUKODI SHAMBA LA MPAMBAA 2023/2024 August 30, 2023
  • TAARIFA YA KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA UVUVI KWENYE MABWAWA YOTE YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA July 10, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    September 20, 2023
  • WAKULIMA WAELIMISHWA MBINU BORA MSIMU MPYA WA KILIMO 2023/2024

    September 18, 2023
  • SINGIDA DC YAADHIMISHA SIKU YA USAFI DUNIANI

    September 16, 2023
  • WANAFUNZI 9023 KUFANYA MTIHANI KUHITIMU DARASA LA SABA 2023

    September 13, 2023
  • Angalia zote

Video

MBUNGE SINGIDA KASKAZINI
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.