• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENYEKITI WA HALAMSHAURI YA WILAYA YA SINGIDA PAMOJA NA WATAALAMU KUTOKA NEMC WATEMBELEA MAZIWA MAWILI KATA YA MAKURO

Posted on: January 11th, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha pamoja na wataalamu kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Halmashauri ya Wilaya ya Singida wametembelea Kata ya Makuro kuangalia maziwa mawili yaliyopo eneo hilo, ambayo yamejaa maji na kusababisha wasiwasi kwa wananchi wa vijiji vinavyozunguka maziwa hayo.

Ziara hiyo ililenga kufahamu hali halisi ya maziwa hayo na kutoa ushauri wa kitaalamu ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya hali ya mazingira.

Akizungumza na wananchi wa kata hiyo, Afisa Mazingira kutoka NEMC, Bw. Innocent Makomba, alisisitiza umuhimu wa kulinda vyanzo vya maji kwa kuacha mara moja kufanya shughuli za kilimo pembezoni mwa maziwa hayo. Alieleza kuwa kilimo karibu na vyanzo vya maji husababisha uharibifu wa mazingira na kupunguza uwezo wa vyanzo hivyo kuhifadhi maji, hali ambayo inaweza kusababisha maafa kama mafuriko au ukame wa muda mrefu.

“Ni muhimu sana kulinda vyanzo hivi vya maji kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. Shughuli za kilimo pembezoni mwa maziwa haya zinaharibu mazingira na kusababisha hatari kubwa kwa maisha ya watu na mifugo,” alisema Bw. Makomba.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida aliwahimiza wananchi kufuata ushauri wa wataalamu na kuelekea kwenye kilimo cha kisasa kinachozingatia utunzaji wa mazingira. Alibainisha kuwa kilimo cha kisasa siyo tu kwamba kinachangia uzalishaji bora wa mazao, bali pia kinaweka mazingira salama kwa kila mtu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA PESA ZA MIRADI YA MAENDELEO SEPT 2023 October 18, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA SINGIDA WAPATA MAFUNZO KUHUSU USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA UWEKEZAJI

    April 03, 2025
  • TAWA YATOA ELIMU YA MBINU ZA KUKABILIANA NA WANYAMA PORI

    April 03, 2025
  • HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI WATEMBELEA HALMASHAURI YA SINGIDA

    March 28, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMINZA

    March 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.