• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA MHE. ELIA DIGHA ASHIRIKI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI SINGITU

Posted on: October 8th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha ashiriki katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Sekondari Singitu. Mahafali hayo yamefanyika leo tarehe 08/10/2024 shule ya Sekondari Singitu kata ya Mtinko, na kuhudhuriwa na Diwani wa kata ya Mtinko Mhe. Bilali Yusuf, wazazi pamoja na wageni mbalimbali.

Akiwa mgeni rasmi katika mahafali hayo Mhe. Digha ameahidi kuchangia vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni 15 katika ujenzi wa matundu 14 ya vyoo vya wasichana Shule ya sekondari Singitu iliyopo Kata ya Mtinko. Pia amewasihi wanafunzi hao wa kidato cha nne kuendelea na masomo baada ya kuhitimu kidato cha nne.

"Niwaase hawa vijana wanaomaliza kidato cha nne na kwenda kuanza kidato cha Tano, tunategemea muende mpaka chuo kikuu, niwaombe wazazi tumezoea mara nyingi kuacha wanafunzi wetu akimaliza shule tunadhani akiolewa ndio tumepata....nanyi wanafunzi msikubali kuhitimu kidato cha nne na kukaa mtaani." Amesema Mhe Digha


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE WALIOHAMISHWA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - TAMISEMI KUTOKA HALMASHAURI MOJA KWENDA HALMASHAURI NYINGINE November 18, 2025
  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WARSHA YA KUJADILI MAKADIRIO YA MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI.

    November 20, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA NA LISHE WATOA ELIMU NA HUDUMA KWA WANANCHI.

    November 18, 2025
  • DC GONDWE AWAASA WATUMISHI KUDUMISHA AMANI NA USHIRIKIANO.

    October 27, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA SINGIDA WASISITIZA UMUHIMU WA AMANI KABLA YA UCHAGUZI.

    October 27, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.