• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

SHIRIKI LA WORLDSERVE INTERNATIONAL LAKABIDHI MIRADI MIWILI SHULE YA MSINGI MWAMENYA

Posted on: October 30th, 2024

Shirika la Worldserve International limekabidhi mradi wa maji na uwanja wa mpira wa kikapu kwa Shule ya Msingi Mwamenya. Akizungumza katika makabidhiano hayo yaliyofanyika leo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Bw. Juma Sabigoro amewaasa wazazi na walimu kuitunza na kuitumia miradi hii vizuri ili wanafunzi na jamii inayoizunguka Shule ya Mwamenya inufaike. 


Naye Mratibu wa Miradi ya kuwezesha shule (Empowering School Program) kutoka shirika la Worldserve International, Bi. Rebecca Mmbaga amewashukuru uongozi wa shule na jamii kwa ujumla kwa ushirikiano mzuri walioutoa katika kipindi chote cha utekelezaji wa miradi hiyo.












Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI

    February 03, 2026
  • SINGIDA DC NA MKALAMA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KUPITIA BONANZA LA MICHEZO

    January 31, 2026
  • TATHMINI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 30, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAANDAA KIKAO CHA USINDIKAJI WA VYAKULA VYENYE LISHE

    January 30, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.