• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

SINGIDADC YAPOKEA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19

Posted on: October 25th, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Singida imepokea fedha Tzs 1,420,000,000.00 kutoka Serikalini kati ya TZS 1,530,000,000.00 zilizokuwa zimeidhinishwa,ikiwa ni mgao wa fedha za mkopo wenye masharti nafuu zilizotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya maendeleo  na ustawi wa Taifa na Mapambano ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19

Matumizi ya fedha hizi yameelekezwa katika maeneo yanayogusa wananchi moja kwa moja kwa ajili ya kuwaondolea kero,kama vile masuala ya Afya na Elimu pamoja na mapambano dhidi ya uviko -19 kama ilivyofafanuliwa kwenye jedwali hapa chini

NA
JINA LA MRADI
IDADI YA MIUNDOMBINU INAYOTARAJIWA KUJENGWA
KIASI KWA DARASA,NYUMBA
JUMLA
1
Ujenzi wa madarasa katika shule 26 za Serikali za Sekondari
58
20,000,000.00
1,160,000,000.00
2
Ujenzi wa vyumba vya Madarasa kwa Shule za msingi 4 shikizi
9
20,000,000.00
180,000,000.00
3
Ujenzi wa bweni moja katika shule ya msingi Mgori
1
80,000,000.00
80,000,000.00

Jumla


1,420,000,000.00

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • WALIOCHAGULIWA DARASA LA SABA 2020 December 20, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC Mahenge Agawa Pikipiki 166 kwa Maafisa Kilimo Mkoani Singida.

    June 15, 2022
  • Jengo la Wagonjwa Mahututi(ICU) Katika Hatua za Mwisho

    June 01, 2022
  • Mdau wa Maendeleo JSI akabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

    December 20, 2021
  • SINGIDADC YAPOKEA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19

    October 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yafanyika Manyoni Singida kimkoa.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.