• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TATHMINI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.

Posted on: January 30th, 2026

Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida(CMT) ikiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri. Miradi ya maendeleo iliyotembelewa ni pamoja na miradi ya elimu ikiwemo, madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo katika Shule ya Msingi Ilongero, madarasa 8, matundu ya vyoo 18, jengo la utawala na kichomea taka katika Shule mpya ya Msingi ya Mkondo Mmoja, ambapo miradi yote hii inagharimu kiasi cha fedha cha shilingi milioni 359,400,000/=.



Miradi mingine ni madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo katika Shule ya Msingi Msimihi, madarasa 2 na matundu 10 ya vyoo katika Shule ya Msingi Mwachambia, madarasa 4 na matundu 14 ya vyoo, katika Shule ya Msingi Ghata na mabweni 2 katika Shule ya Sekondari ya Maghojoa, ambapo miradi yote inagharimu kiasi cha shilingi milioni 404,400,000/=.


Vilevile,  Timu ya Menejimenti imetembelea mradi wa ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkways) katika Hospitali ya Wilaya ya Singida, ambao umemalizika katika hatua ya kwanza yenye mita 235, utekelezaji wa mradi unaendelea katika hatua ya pili ili kukamilisha mita zote 818 zinazotakiwa kujengwa ili kuunganisha majengo ya OPD -Maabara - chumba cha upasuaji (Theatre) - wodi ya wazazi (Maternity) - wodi za watoto, wanaume, wanawake, - chumba cha wagonjwa mahutiuti (ICU) - jengo la kufulia - jengo la kuhifadhia maiti (Mortuary) na stoo ya dawa, ambapo gharama za mradi huo ni shilingi milioni 366,100,640/=.


Wito umetolewa na timu hiyo kwa wasimamizi wa miradi na mifundi, kuongeza kasi ya ujenzi, kuongeza nguvu kazi, kuzingatia ubora wa kazi, kushirisha wananchi katika kazi za ujenzi pamoja na kupanda miti kwaajili ya kutunza mazingira, ili kutimiza nia ya Serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mhe. Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ya kutoa fedha hizo ili kuboresha miundombinu na mazingira ya utolewaji wa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SINGIDA DC NA MKALAMA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KUPITIA BONANZA LA MICHEZO

    January 31, 2026
  • TATHMINI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 30, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAANDAA KIKAO CHA USINDIKAJI WA VYAKULA VYENYE LISHE

    January 30, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAFANYA TATHMINI YA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    January 27, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.