• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KATIKA ZAHANATI YA KIJIJI CHA MAKHANDI KUFUATIA WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Posted on: April 25th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Mhandisi Paskasi Damian Muragili aweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha Makhandi, iliyopo kata ya Mrama ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Akizungumza na wanufaika wa mradi, Mhe. Muragili amewapongeza wananchi kwa kuupokea mradi wa Zahanati na kuendelea kuungana mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika wiki ya Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar chini ya Kauli Mbiu isemayo ''Umoja na Mshikamano ndiyo nguzo ya kukuza uchumi wetu''. Aidha Mkuu huyo wa Wilaya ya Singida amewataka wananchi kuendelea kuenzi, kulinda na kutunza tunu za Muungano wetu ambazo ni UMOJA na MSHIKAMANO kwani katika kipindi cha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Halmashauri ya Wilaya ya Singida imeweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika  sekta mbali mbali ikiwemo elimu, afya, maji, miundo mbinu na umeme kupitia wakala wa umeme vijijini na mijini, yaani REA.  Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ilipokea kiasi cha  Tshs. milioni 50 fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa  Zahanati ya kijiji cha Makhandi  iliyojengwa kwa nguvu za wananchi.  Mhe. Muragili amewataka wananchi wa kijiji cha Makhandi na Halmashauri ya Wilaya ya Singida kwa ujumla kushiriki katika chaguzi  za Serikali za mitaa kwa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu kwa mwaka 2025. Hata hivyo wananchi wa kijiji cha Makhandi wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusogeza huduma ya afya  karibu na wananchi na hivyo kuwapunguzia umbali waliokuwa wakisafiri kufuata huduma ya afya katika kituo cha afya Ilongero. 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2023 August 25, 2023
  • KUHAMA KWA OFISI ZA HALMASHAURI August 11, 2023
  • UTARATIBU WA KUKODI SHAMBA LA MPAMBAA 2023/2024 August 30, 2023
  • TAARIFA YA KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA UVUVI KWENYE MABWAWA YOTE YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA July 10, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    September 20, 2023
  • WAKULIMA WAELIMISHWA MBINU BORA MSIMU MPYA WA KILIMO 2023/2024

    September 18, 2023
  • SINGIDA DC YAADHIMISHA SIKU YA USAFI DUNIANI

    September 16, 2023
  • WANAFUNZI 9023 KUFANYA MTIHANI KUHITIMU DARASA LA SABA 2023

    September 13, 2023
  • Angalia zote

Video

MBUNGE SINGIDA KASKAZINI
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.