• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WAZIRI WA NCHI AZINDUA MAONESHO YA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI KIUCHUMI MKOANI SINGIDA

Posted on: September 10th, 2024

Maonesho ya saba ya mifuko ya program za uwezeshaji wananchi kiuchumi kanda ya kati yaliyoanza tarehe 8 yamezinduliwa leo mkoani Singida ambapo yataisha tarehe 14 mwezi huu.

Akizindua maonesho hayo yaliyolenga kuwawezesha wananchi kupata fursa ya kukutana na wajasiriamali na taasisi zingine zinazohudumia jamii Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, sera bunge na uratibu William Lukuvi amesema maonesho haya yatatoa fursa nyingi kwa Mkoa wa Singida na kanda ya kati kwa ujumla.

Amesema wananchi wakiitumia fursa hii vizuri watajikwamua kiuchumi kwa kujifunza kutoka kwa wenzao ambao wameanza biashara wakiwa na mitaji midogo waliyowezeshwa au kukopa lakini kwa sasa wanafanya mambo makubwa.

Trilioni 6.8 zimetolewa na program za uwezeshaji wananchi kiuchumi ambapo serikali imeshusha riba katika shughuli za kilimo, mifugo na uvuvi ili wananchi waweze kumudu na kujiendeleza kiuchumi.

Waziri Lukuvi ametumia nafasi hii kuwaalika wananchi wengine wa Mikoa ya jirani kufika katika maonesho hayo ili kujipatia na kujionea fursa hii adhimu kutoka mifuko na sekta za programu za uwezeshaji na sekta zingine za umma na binafsi.

Awali akizungumza mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amesema Mkoa wa Singida umepokea zaidi ya shilingi trilioni 1.9 katika kipindi cha miaka mitatu kutekeleza shughuli za maendeleo na pia kuweka mazingira magumu ya serikali kuchachusha uchumu na kuweka mazingira mazuri ya kibiashara.

Maadhimisho haya yanaongozwa na kauli mbinu isemayo shiriki uchaguzi wa serikali za mitaa unufaike na fursa za uwekezaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.