• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TEHAMA na Uhusiano


Richard Masimba

Mkuu wa Kitengo cha Tehama




Kitengo kinasimamiwa na Mkuu wa Kitengo ambaye anaratibu na kusimamia shughuli zote za TEHAMA na Uhusiano katika Halmashauri.

Eneo la TEHAMA

  1. Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa;
  2. Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA;
  3. Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programmu mbalimbali;
  4. Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA;
  5. Kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kutumika;
  6. Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kielekroniki katika Halmashauri;
  7. Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Network) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana;
  8. Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri;
  9. Kutengeneza utaratibu mzuri wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga;
  10. Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA;
  11. Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho;
  12. Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo;
  13. Kutoa specification za vifaa kwa ajili ya manunuzi;
  14. Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutimika; na
  15. Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inapatikana wakati wote.

Eneo la Uhusiano

  1. Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za Uhusiano;
  2. Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za Uhusiano katika Halmashauri;
  3. Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;
  4. Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio na majarida;
  5. Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na District Profile;
  6. Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;
  7. Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri;
  8. Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;
  9. Kusimamia press briefing za Halmashauri;
  10. Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali; na
  11. Kushirikiana kwa karibu na afisa uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA MASHARTI YA KUDUMU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA February 22, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA YA KUKUSANYA USHURU WA HALMASHAURI February 10, 2023
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA KATIKA KIKAO KAZI CHA LISHE NA WATAALAMU WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    February 14, 2023
  • WALIMU WA KATA YA ITAJA WAJENGEANA UWEZO KUPITIA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI(MEWAKA) KWA UFADHILI WA MRADI WA SHULE BORA

    February 04, 2023
  • WASTAAFU WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    January 26, 2023
  • Mhe. Mhandisi Paskas Muragili akiongoza Mdahalo kutafakari mafanikio ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    December 10, 2022
  • Angalia zote

Video

Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yafanyika Manyoni Singida kimkoa.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.