• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Video

  • WALIMU WA HISABATI WAPATIWA MAFUNZO YA KUBORESHA UFUNDISHAJI SINGIDA

    August 13th, 2025

    Walimu wa somo la Hisabati kutoka shule za msingi zote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida wanapatiwa mafunzo ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa umahiri wenye changamoto katika somo hilo.Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Programu ya Shule Bora inayofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania, yanafanyika kuanzia Mei 29 hadi 31 katika Kituo cha Walimu Singida kilichopo Manispaa ya Singida.Lengo kuu la mafunzo hayo ni kuwajengea walimu uwezo wa kufundisha Hisabati kwa ufanisi zaidi na kusaidia wanafunzi wanaokumbana na changamoto katika kujifunza somo hilo.

  • UFAHAMU UGONJWA WA HOMA YA INI.

    August 13th, 2025

    Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Singida,  Dkt. Majaliwa John akitoa Elimu kuhusiana na ugonjwa wa ini, katika kikao cha baraza la madiwani cha robo ya tatu.

  • UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA.

    August 13th, 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Bi. Ester Chaula akielezea mchakato mzima wa utolewaji wa Mikopo ya Asilimia 10, kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  ambapo jumla ya fedha kiasi cha shilingi Milioni 354,939,500,  zimekabidhiwa kwa jumla ya vikundi 64.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AELEKEA DODOMA KWA TRENI YA SGR KUSHIRIKI ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 17, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI CHA MBIO ZA MWENGE ZA MWAKA 2024, NA KUJADILI MAANDALIZI YA MBIO ZA MWENGE ZA MWAKA 2025

    May 15, 2025
  • VIKUNDI 64 VYA WANAWAKE, VIJANA, NA WATU WENYE ULEMAVU, VYAPATIWA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    May 15, 2025
  • "NENDENI MKASIMAMIE MIRADI VIZURI NA IISHE KWA WAKATI” - MHE. ELIA DIGHA.

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

Tovuti mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.