• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Video

  • UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA.

    August 13th, 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Bi. Ester Chaula akielezea mchakato mzima wa utolewaji wa Mikopo ya Asilimia 10, kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  ambapo jumla ya fedha kiasi cha shilingi Milioni 354,939,500,  zimekabidhiwa kwa jumla ya vikundi 64.

  • YAFAHAMU MAJUKUMU YA OFISI YA UTHIBITI UBORA WA SHULE.

    August 13th, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMIZA

    August 13th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amewataka walimu kuepuka kukopa mikopo umiza inayoweza kuwa na madhara makubwa kwao kiuchumi. Badala yake, amewashauri kukopa kutoka taasisi zinazotambulika na serikali kwa usalama wa kifedha na ustawi wao.Mhe. Gondwe alitoa wito huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) tawi la Singida Vijijini, uliofanyika katika Ukumbi wa Lulumba, Manispaa ya Singida. Katika hotuba yake, aliwahimiza walimu kuwa makini katika maamuzi yao ya kifedha ili kuepuka matatizo yanayoweza kuathiri maisha yao na utendaji wao kazini.Mkutano huu ulijumuisha walimu wote wa Shule za msingi na sekondari waliopo katika Halmasgauri ya Wilaya ya Singida

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TUMIENI MICHEZO KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA

    August 23, 2025
  • WAFAANYAKAZI NA WANANCHI WAJUMUIKA KATIKA BONANZA LA MICHEZO ILONGERO

    August 09, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA ATOA WITO KWA WASAIDIZI KUZINGATIA MAELEKEZO YA MAFUNZO

    August 06, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI, KWA NGAZI YA KATA

    August 04, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

Tovuti mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.