• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Video

  • WANAWAKE NA UONGOZI

    August 13th, 2025
  • WANAWAKE NA SEKTA YA AFYA

    August 13th, 2025

    Wanawake katika Sekta ya Afya

  • MKUU WA WILAYA MHE. GODWIN GONDWE ASISITIZA UHIFADHI WA MISITU KWA AJILI YA VIZAZI VIJAVYO

    August 13th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, ametoa wito kwa kila mtu kuwa balozi wa uhifadhi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya misitu ili kuhakikisha yanabaki kuwa hifadhi za misitu endelevu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.Aidha, Mhe. Gondwe amesisitiza umuhimu wa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu faida za kiuchumi zinazotokana na hifadhi za misitu, zikiwemo fursa za biashara ya hewa ukaa. Alibainisha kuwa hifadhi za misitu si tu zinachangia katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, bali pia zinatoa nafasi za kuongeza kipato kwa jamii zinazozunguka maeneo hayo.Mhe. Gondwe aliyasema hayo Januari 24, 2025, katika Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilicholenga kujadili utekelezaji wa mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 na mpango wa bajeti wa mwaka wa fedha 2025/2026.Kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Maktaba ya Mwenge Sekondari, kiliwakutanisha wadau kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida na Halmalmashauri ya Wilaya ya Singida

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SERIKALI KUZIFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE ZILIZOCHAKAA.

    June 04, 2025
  • WALIMU WA HISABATI WAPATIWA MAFUNZO YA KUBORESHA UFUNDISHAJI SINGIDA

    May 30, 2025
  • AFISA UFUGAJI NYUKI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA ASHIRIKI MAONESHO MAALUM YA BIDHAA ZA NYUKI, MKOANI DODOMA.

    May 26, 2025
  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

Tovuti mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.