• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Video

  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA ATOA WITO KWA WATAALAMU KUUNGA MKONO KILIMO CHA KISASA

    August 13th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amewataka wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Manispaa ya Singida kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo chao kwa kutumia mbinu za kisasa. Amesisitiza umuhimu wa kutoa elimu kwa wakulima kuhusu mazao yanayofaa kulimwa kulingana na aina ya udongo uliopo katika maeneo yao. Aidha, amehimiza wataalamu kuwaelimisha wakulima umuhimu wa kujisajili ili kupata namba ya mkulima, hatua itakayowawezesha kufaidika na ruzuku zinazotolewa na serikali.Mhe. Gondwe ameyasema hayo Januari 24, 2025, katika Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilicholenga kujadili utekelezaji wa mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 na mpango wa bajeti wa mwaka wa fedha 2025/2026.Kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Maktaba ya Mwenge Sekondari, kiliwakutanisha wadau kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida na Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC).

  • MHE. ELIA DIGHA AWASISITIZA WAVUVI WA MAKURO KUZINGATIA USALAMA WA MAJI

    August 13th, 2025

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Mheshimiwa Elia Digha, ametoa wito kwa wavuvi kutoka Kata ya Makuro kuhakikisha wanavaa jaketi za kuzuia kuzama (life jackets) wanapoenda kuvua samaki ili kulinda usalama wao wanapokuwa majini.Akizungumza wakati wa ziara yake katika maziwa yaliyopo Kata ya Makuro, Mhe. Digha alieleza kuwa usalama wa wavuvi ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya sekta ya uvuvi katika eneo hilo. Alibainisha kuwa ajali za maji mara nyingi hutokea kwa sababu ya kutozingatia tahadhari za kiusalama, ikiwemo kutovaa vifaa maalum vya kuhakikisha usalama wao wakiwa kwenye maji.

  • DC GONDWE ATOA MAAZIMIO MGOGORO WA MIPAKA KATI YA VIJIJI VYA MUNKHOLA NA MSIKII

    August 13th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amefanya ziara katika hifadhi ya msitu wa kijiji cha Munkhola kwa lengo la kusikiliza mgogoro wa mipaka kati ya kijiji cha Munkhola kilichopo Kata ya Mgori na kijiji cha Msikii kilichopo Kata ya Munghamo na kushughulikia suala la uvamizi wa hifadhi ya msitu wa kijiji cha Munkhola.Ziara hiyo ilihusisha wataamu mbali mbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Singida Manispaa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Katika jitihada za kumaliza mgogoro huo, Mhe. Gondwe alitoa maazimio mbalimbali ya utekelezaji. 

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA WAGANGA WAFAWIDHI WA ZAHANATI NA VITUO VYA AFYA.

    April 11, 2025
  • KITUO CHA AFYA CHA ILONGERO, CHAPATIWA CHETI CHA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA AFYA.

    April 10, 2025
  • MHESHIWA ISSA, AMUWAKILISHA MWENYEKITI WA HALMASHAURI KATIKA KIKAKO CHA WENYEVITI WA VIJIJI

    April 09, 2025
  • CHANJO YA POLIO KWA NJIA YA SINDANO YAZINDULIWA SINGIDA

    April 09, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

Tovuti mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.