• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Video

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA APONGEZA UWEPO WA BONANZA LA MWALIMU NA SAMIA

    August 13th, 2025

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha amepongeza uwepo wa bonanza la Mwalimu na Samia lililofanyika leo katika uwanja wa Bombadia ambapo amesema, matukio kama hilo bonanza yanasaidia kuleta motisha kwa walimu ili waendelee kufaya kazi vizuri na kuleta matokeo mazuri zaidi.

  • DC GONDWE APONGEZA WALIMU KWA MAFANIKIO, AHAMASISHA KUONGEZA UFAULU SEKON

    August 13th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amewapongeza walimu wa wilaya hiyo kwa juhudi kubwa wanazozifanya katika kuboresha elimu, huku akisisitiza lengo la kuongeza ufaulu na kuondoa daraja la nne na la sifuri katika matokeo ya shule za sekondari.Mhe. Gondwe alitoa pongezi hizo leo, Novemba 23, 2024,katika Bonanza la Mwalimu lililofanyika katika Uwanja wa Bombadia, Manispaa ya Singida.

    Bonanza hilo lililoshirikisha walimu wa wilaya nzima, lilikuwa na lengo la kutambua na kuwazawadia walimu kwa kazi nzuri wanazozifanya, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha mafanikio zaidi katika sekta ya elimu.Mhe. Gondwe alieleza kuwa wilaya ya Singida imeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya elimu, ambapo hivi karibuni wilaya hiyo ilishika nafasi ya pili, na Manispaa ya Singida kushika nafasi ya tatu.

  • MKUU WA MKOA WA SINGIDA AWAPONGEZA WALIMU SINGIDA

    August 13th, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego amewapongeza walimu wa Singida kwa kufanya kazi kwa weledi na uzalendo mkubwa ambao umewafanya kuwa faraja kwa wananchi wa Singida. Mkuu wa Mkoa ameyasema haya katika bonanza lililoandaliwa na Ofisi ya Kuu wa Wilaya ya Singida kwa kushirikiana na Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Singida lililojumuisha walimu kutoka Wilaya ya Singida liitwalo “Mwalimu na Samia” lililofanyika leo katika Viwanja vya Bombadia

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA SINGIDA WAPATA MAFUNZO KUHUSU USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA UWEKEZAJI

    April 03, 2025
  • TAWA YATOA ELIMU YA MBINU ZA KUKABILIANA NA WANYAMA PORI

    April 03, 2025
  • HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI WATEMBELEA HALMASHAURI YA SINGIDA

    March 28, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMINZA

    March 22, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

Tovuti mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.