Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida anawatangazia wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida kuomba nafasi za Kazi ya Muda (Kipindi cha Miezi Mitatu) ya ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri unaotokana na Vyanzo vya ndani kama barua inavyojieleza
Nafasi za Kazi ya Muda ya Kukusanya Ushuru wa Halmashauri.pdf
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.