Maeneo mengi duniani masuala ya ardhi yameonekana kuwa na migogoro iliyoleta maafa. Halmashauri kupitia Idara ya Ardhina Maliasili, imeendelea kuweka mipango madhubuti ya matumizi bora ya ardhi kwakushirikiana na wadau mbalimbali ambapo imeendelea kutoa elimu dhidi ya mipango ya matumizi bora ya ardhi. Kazi iliyofanywa ni pamoja na:-
Halmashauri imeandaa mchoro wa mpaka wa mji huo na michoro minne (4) ya Mipangomiji ambayo imezingatia ujenzi wa mji mpya wa kisasa katika eneo la Njiapanda ya Merya wenye jumla ya hekta 5,480. Jumla ya viwanja 725 vinatarajia kuuzwa kwa wananchi.
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.