Utoaji wa huduma bora kwa jamii kupitia matumizi bora na yenye ufanisi ya rasilimali, kujenga uwezo na utawala bora na kusababisha viwango bora ya maisha ya watu wetu.
Dira:
Halmashauri yenye jamii iliyo na motisha, maisha bora, nguvu, na maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii.