Utekelezaji wa Ilani katika utoaji wa elimu ya Msingi uko katika maeneo yafuatayo:-
Halmashauri ya Wilaya ya Singida kwa kipindi cha 2015/2016, 2016/2017, 2017/2018, 2018/2019 na 2019/2020 ilipokea jumla ya Tsh 2,401,072,529.23 fedha za uendeshaji ( Capitation) kwa ajili ya ununuzi wa vifaa, ukarabati, chakula, mitihani, michezo, Chakula na utawala katika shule zote 99 za Serikali kwa elimu msingi.
Hali iliyopelekea kuongezeka kwa ufaulu kama ifuatavyo:
MWAKA |
WALIOFAULU MTIHANI |
% |
2014
|
5,356 |
73.00 |
2015
|
4,818 |
91.41 |
2016
|
5,479 |
93.67 |
2017
|
6,512 |
94.01 |
2018
|
7,394 |
93.09 |
2019
|
4333 |
81.02 |
Aidha hali ya mdondoko imepungua kutoka 5% mwaka 2015 hadi 0.3% kwa mwaka 2019.
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.