Friday 1st, July 2022
@Wilaya ya Singida
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida anawatangazia Wananchi Wote wa Wilaya ya Singida kuwa kutakuwa na Ufunguzi wa Msimu wa Kilimo 2021/2022 ukiambatana na Maonyesho ya Wadau wa Kilimo ambapo mbinu mbalimbali za Kilimo cha kisasa zitaonyeshwa na kufundishwa. Wananchi Wote mnakaribishwa.
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.