• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC GONDWE APONGEZA WALIMU KATIKA BONANZA LA 'MWALIMU NA SAMIA"

Posted on: November 23rd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amewapongeza walimu wa wilaya hiyo kwa juhudi kubwa wanazozifanya katika kuboresha elimu, huku akisisitiza lengo la kuongeza ufaulu na kuondoa daraja la nne na la sifuri katika matokeo ya shule za sekondari. Mhe. Gondwe alitoa pongezi hizo leo, Novemba 23, 2024,katika Bonanza la 'Mwalimu na Samia' lililofanyika katika Uwanja wa Bombadia, Manispaa ya Singida.

Bonanza hilo lililoshirikisha walimu wa wilaya nzima, lilikuwa na lengo la kutambua na kuwazawadia walimu kwa kazi nzuri wanazozifanya, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha mafanikio zaidi katika sekta ya elimu. Mhe. Gondwe alieleza kuwa wilaya ya Singida imeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya elimu, ambapo hivi karibuni wilaya hiyo ilishika nafasi ya pili, na Manispaa ya Singida kushika nafasi ya tatu.

“Nawapongeza walimu kwa kazi nzuri mnayoifanya. Mfano hivi karibuni matokeo yametoka kwa wilaya ya Singida, Singida imeshika nafasi ya pili na Manispaa ya tatu, lakini baada ya hili bonanza ninaamini kutakuwa na mabadiliko,” alisema Mhe. Gondwe.

Aidha, Mhe. Gondwe alisisitiza kuwa malengo ya mwaka ujao ni kuondoa kabisa daraja la nne na la sifuri katika matokeo ya shule za sekondari.

“Kufika mwakani, tunataka kupata matokeo bora na kufuta yale madaraja ya chini - lile daraja la nne na sifuri. Hii inawezekana kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanapata chakula shuleni kwa asilimia 100, na juhudi zinaendelea katika hilo,”

Bonanza la Mwalimu lilikuwa pia ni fursa ya kutunukiwa walimu vyeti na zawadi kwa matokeo bora waliyoyapata katika kazi zao. Mhe. Gondwe alieleza matumaini yake kwamba tukio hilo litakuwa chachu va mafanikin zaidi katika chule za wilava va Singida, na kwamba walimu wataendelea kuongeza juhudi katika kuboresha elimu.


Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.