• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KAMPENI YA JIKUBALI YAZINDULIWA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA

Posted on: October 31st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba leo tarehe 31/10/2023 amezindua rasmi kampeni ya Jiikubali iliyo chini ya Wizara ya Afya kupitia mpango wa Taifa wa kudhibiti Ukimwi.Hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika Viwanja vya Bombadia ambapo ilihudhuriwa na Wanafunzi mbalimbali wa Shule za Sekondari za Wilaya ya Singida.


Akiongea na wanafunzi hao Mhe Serukamba amewaasa vijana hasa wa kike kujiepusha na tamaa kwani zinapelekea kupata vishawishi na kuangukia kwenye Janga la Ugonjwa wa Ukimwi na kushika mimba zisizotarajiwa, Amewasisitiza Wananfunzi kutumia mafunzo yatakayotolewa kwenye Kampeni hii kuongeza uelewa kwa wasichana na wavulana wa Mkoa wa Singida kwa kujitambua na kuchukua hatua za kujali maisha yao kwa manufaa yao ya  baadae. 


Akiongelea hali maambukizi ya Ukimwi kwa Mkoa wa Singida Mhe Serukamba amesema kati ya makundi mbalimbali ya jamii ni vijana wenye umri wa miaka 15 - 24  ndio ambao hawajui hali zao za maambukizi ukilinganisha na makundi mengine na kwa kulitambua hilo Serikali imeshusha umri wa kuweza kupima VVU kwa hiari kuwa ni kuanzia miaka 15. Amesema kuongezeka kwa Vituo vya kutolea huduma za upimaji wa VVU na utoaji wa ushauri nasaha ambao ni mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita baada ya kufanikiwa kuongeza Vituo vya Afya. 

Jikubali ni kampeni maalumu kwaajili ya wanafunzi, na lengo kubwa ya Kampeni hii ni kuwajengea uwezo wa kujikinga dhidi ya maambukizi ya VVU, mimba za utotoni, kuzingatia masomo na maadili ya kitanzania na kutoa huduma za afya rafiki kwa vijana.




Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.