• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KATIBU TAWALA WA WILAYA YA SINGIDA, AZINDUA WIKI YA CHANJO KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO.

Posted on: April 25th, 2025

Katibu Tawala wa Wilaya ya Singida, Bi. Naima Chondo, akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Singida, amezindua wiki ya chanjo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Uzinduzi huo, umefanyika leo tarehe 25/04/2025, katika Kituo cha Afya cha Ilongero, kilichopo katika Kata ya Ilongero na kuhudhuriwa na akina Mama walio na Watoto wachanga, pamoja na Waganga na Wauguzi wa Kituo hicho na Kamati ya Afya ya Halmashauri. 

Akitoa salamu za mgeni Rasmi, Bi. Naima Chondo amewapongeza akina Mama hao kwa kujitokeza kwa kupata watoto na pia ameishukuru serikali kwa kujali wananchi wake katika kutoa huduma bora za Afya.

“Sote tunajua, Chanjo ni bora kuliko tiba, si ndivyo?? Tunajua sana umuhimu wa Chanjo. Sisi wakati tunakua tulikuwa tunapata sana magonjwa ya Surua, Magonjwa ya Tetekuwanga na Polio, lakini Serikali yetu imejitahidi sana, kutoa chanjo kwa watoto, mpaka sasahivi haya magonjwa ya kuambukiza yanaenda yanapungua. Tumshukuru sana Rais wetu, Mama Samia kwa kuijali sana sekta ya afya, kwakutoa chanjo bure, watoto wetu wanakuwa na afya njema” Alisema Bi. Naima.


Baada ya uzinduzi akina Mama wote waliohudhuria, walipata nafasi ya watoto wao kupatiwa chanjo ya matone, ambapo zoezi hilo litaendelea mpaka tarehe 30/ 04/2025 ikiwa ndio kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Chanjo Duniani. Sambamba na hiyo, itatolewa pia chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV) kwa watoto wa kike wenye umri wa miaka tisa.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.