• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KIKAO CHA KAMATI YA AFYA YA MSINGI NGAZI YA WILAYA CHATOA MAAGIZO

Posted on: November 9th, 2023

Kikao cha kamati ya Afya ya msingi ya kimefanyika leo Tarehe 09/11/2023 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ilongero.Kikao hiki kimefanyika kwa dharura baada ya kuona mlipuko wa magonjwa ya kuharisha na kutapika katika baadhi ya maeneo ya Halmashauri yetu.

Kikao hiki kimehudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri,Wakuu wa Idara na Vitengo,Watendaji wa Kata na Vijiji, Wawakilishi wa Taasisi na Wahudumu wa Afya kutoka kata zote za Halmashauri.


Akiongelea kuhusu Mlipuko wa Ugonjwa wa Kuharisha na Kutapika Kaimu Mganga mkuu wa Wilaya Dkt. Irene Shayo amesema magonjwa ya kuhara ni miongoni mwa magonjwa ya milipuko ambayo  ni hatari sana kwa uhai wa binadamu "Magonjwa hayo ni rahisi kuyapata, rahisi kuyakwepa  na rahisi pia kuua endapo hatua sitahiki zitachelewa kuchukuliwa "


Dkt Irene amesema magonjwa haya yanaambukizwa kupitia maji machafu, mboga zilizopandwa kwenye maji taka, Samaki au dagaa waliovuliwa kwenye maji machafu,vyakula na vinywajiv ilivyo na vimelea hawa kutokana na uchafu.


Baada ya utangulizi huo Mwenyekiti wa Halmashauri amewataka Wajumbe wote wa kikao hicho kuwa mabalozi wa Usafi kwenye maeneo yao na kuhakikisha kuwa taratibu zote za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko zinafuatwa kama wataalamu wa Afya wanavyoshauri,ameagiza kuwe na ufuatiliaji kwa kila kaya ili kuhakikisha kuwa wote wanatumia vyoo bora na salama na pia

amesisitiza kuhakikisha kuwe na utaratibu wa kuchemsha maji na kuchuja kabla ya kunywa.


Akiongea kabla ya kuhitimisha kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji amesema halmashauri imeandaa mpango mkakati wa kukabiliana na mlipuko huo kwa kuweka maelekezo yafuatayo

 (i) Kuunda kikosi kazi katika kila kijiji ili kukagua kila kaya na kubaini kaya amabazo hazina Choo bora,Watakaobainika kukosa choo bora wapigwe faini ya Shilingi elfu hamsini na kupewa muda wa kuhakikisha wanajenga choo bora.

 (ii)Kuhakikisha kila kaya, Shule, Vituo vya Afya, Masoko,Taasisi za kidini na zisizo za kiserekali,Sehemu za mkusanyiko kote kunakuwa na vyombo vya kunawia mikono,maji safi na sabuni.

 (iii)Kuchukua sampuli za maji na kutibu visima vifupi na visima virefu kwa dawa linatekelezwa na RUWASA.

  (iv) Kuhakikisha Maeneo yote ya kuuzia na kupikia chakula yanakaguliwa na kuwa safi Muda wote.

  (v)Kutoa elimu kwa Umma juu ya jinsi gani ya kuepukana na Ugonjwa wa Kuharisha na Kutapika na kuwahimiza wote wenye dalili za ugonjwa wa kuhara na kutapika kufika hospitali kwa wakati.

Matangazo

  • TANGAZO LA MARUDIO NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI July 02, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • ZIARA YA DC GODWIN GONDWE, KUKAGUA MAANDALIZI YA UJIO WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, SINGIDA DC.

    June 21, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PEPMIS)

    June 20, 2025
  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.