• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MAONESHO YA NANE NANE YATUMIWE KAMA SHAMBA DARASA KWA MAPINDUZI YA SEKTA YA KILIMO

Posted on: August 8th, 2023

Serikali imewataka wananchi kuchukulia maonesho ya Nanenane kama mashamba darasa ya kujifunza mbinu na teknolojia mpya kupitia wataalam wamifugo waliopo katika maonesho hayo pia kuichukua kama fursa ya kubadilishana uzoefu na kutangaza fursa mbalimbali za masoko na uwekezaji zilizopo katika sekta ya kilimo.


Naibu Waziri wa Kazi, in Ajira na Watu wenye walemavu, Patrobas Katambi, ameeleza hayo katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za Nanenane kanda ya kati yaliyofanyika jijini Dodoma.

Katambi amesema, kauli mbiu ya Nanenane mwaka huu 2023 inayosema “Vijana na wanawake ni msingi imara wa mafunzo endelevu ya chakula”, imeeandaliwa mahususi baada ya kutathmini kwa kina na kubaini mchango wa vijana na wanawake katika shughuli za uzalishaji zilizochangia usalama wa chakula na kipato.


Katambi amesema mchango wa kilimo katika pato la taifa umepungua kutoka asilimia 26.8 mwaka 2021 hadi 26.2 mwaka 2022.


Naibu Waziri huyo amesema kushuka kwa silimia hizo kumetokana na changamoto za ugonjwa wa uviko 19 na mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyojitokeza na kuathiri shughuli za uzalishaji.


Amesema serikali mbali na changamoto zinazowakabili wakulima na wafugaji inaendelea kuwajali na kuhakikisha inafanya mapinduzi makubwa na kufanya Tanzania kuwa moja ya nchi inayosifika duniani kwa usafirishaji wa mazao ya chakula, biashara na malighafi.


Katambi amesema pia,maonesho hayo yanatoa mwanya wa kuleta ufumbuzi wa matatizo mbalimbali yanayokabili uzalishaji na biashara katika mnyororo wa thamani wa sekta hizi za kilimo, mifugo na uvuvi.


Amefafanua zaidi kuwa serikali imeweka maonesho haya ya nanenane ili kutambua mchango wa wakulima wafugaji na wadau wote katika sekta hizi kutokana na mchango wake mkubwa katika pato la taifa, kupunguza umasikini pia kutoa uhakika wa upatikanaji wa chakula, “…..asilimia 80 ya watanzania wanategemea kilimo,uvuvi na ufugaji kwa ustawi wa maisha yao….” Amesema Katambi.

#Imeandikwa na Petronella Msechu

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.