• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

Posted on: September 29th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe.  Godwin Gondwe ametembelea miradi ya lishe inayofadhiliwa na Shirika lisilo la kiserikali la Action Against Hunger - USA, katika shule tatu za Sekondari ambazo ni Mughamo, Itaja na Mumbii, kwa lengo la kutambulisha na kutoa shukurani kwa shirika hilo kwa kutekeleza miradi hiyo, na kuhamasisha suala la lishe mashuleni kwa kupitia ulimaji wa bustani za mbogamboga kwa njia ya mfumo wa umwagiliaji kwa matone.


Akiongozana na Katibu Tawala wa Wilaya, Bi. Naima Chondo na mwakilishi wa shirika la Action Against Hunger - USA, Bw. Hillary Makundi, pamoja na wataalamu kutoka katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Mhe. Gondwe amepata nafasi ya kukagua miradi hiyo pamoja na kuzungumza na wananchi waishio katika kata za Mughamo, Itaja na Msange ambako ndiko zilizopo shule hizo.

Mhe. Gondwe ameshukuru mchango wa shirika hilo, kwa kujitoa na kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha watoto wanapata lishe bora wakiwa shuleni ili kuwaimarisha kiakili na kuwasaidia  kufanya vizuri katika masomo yao. Vilevile amewasisitizia viongozi na  wananchi wa kata hizo, kuendelea kuhamasika na kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula shuleni. Pamoja na hayo, Mhe. Gondwe ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha wananchi kuilinda amani ya nchi na kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu tarehe 29 Oktoba, 2025.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • MHE. GONDWE AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA MAJI MAKURO

    September 24, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YENYE THAMANI YA SH. MILIONI 874

    September 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.